Baada ya kushuhudia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam iliyofanyika hi leo, ➡ Simba Vs Ihefu ➡ Yanga sc Vs ...
Droo ya upangaji ratiba ya robo fainali na nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports, imefanyika leo na matokeo ni: Simba ...
We open up live discussion with all of you straight after Ipswich Town's 3-0 home win over Accrington Stanley! Thanks for ...
Clement Mzize amehusika kwenye magoli yote manne, Yanga ikiichapa Tanzania Prisons 4-1 katika mchezo wa 16 bora na kutinga robo fainali kwa kishindo. Clement Mzize amefunga magoli magoli dakika ya 70 na 88 huku akisababisha goli la kwanza lililofungwa na Bakari Mwamnyeto dakika ya 52 na penati iliyofungwa na Stephane Aziz Ki dakika ya 69. Katika mchezo huu uliomaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza bila goli, Tanzania Prisons walipata pigo kwa beki wake Ibrahim Abraham kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 baada ya kupata njano mbili, lakini pia Clement Mzize alikosa penati dakika ya 90. Ni #AzamSportsFederationCup iliyopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Goli la dakika za nyongeza kutoka kwenye kichwa cha beki Mkongomani, Biemes Carno limewapeka Singida Big Stars hatua ya ...
Ni mechi ya raundi ya nne (16 bora), Simba wakiwatandika 4-0 African Sports kutoka Ligi Daraja la Kwanza (#Championship) , kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Wafungaji kwenye mchezo huu ni Jean Baleke dakika ya 36, Kennedy Juma dakika ya 47, Mohamed Mussa dakika ya 69 na Jimmyson Mmwanuke dakika ya 90.
Ni mechi ya raundi ya nne (16 bora), Simba wakiwatandika 4-0 African Sports kutoka Ligi Daraja la Kwanza (#Championship) , kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Wafungaji kwenye mchezo huu ni Jean Baleke dakika ya 36, Kennedy Juma dakika ya 47, Mohamed Mussa dakika ya 69 na Jimmyson Mmwanuke dakika ya 90. Haya hapa magoli yote manne.